Ingekuwa vyeti vya ndoa vinatolewa mwishoni wengi tungekosa

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Cheti cha ndoa unapewa ijalishi umesoma,umefaulu wala nini !

kesi za wanandoa zimekuwa nyingi sana.

watu wanapoingia kwenye ndoa makucha yao uwanza kujionesha,tabia na kila mmoja kutaka akubari uzaifu wake.

Wangekuwa wanatoa mkishaishi miaka 25 😂😂
 
Cheti cha ndoa unapewa ijalishi umesoma,umefaulu wala nini !

kesi za wanandoa zimekuwa nyingi sana.

watu wanapoingia kwenye ndoa makucha yao uwanza kujionesha,tabia na kila mmoja kutaka akubari uzaifu wake.

View attachment 2456647
Mtihani wa kwanza wa ndoa ni kitanda ndio maana cheti hutolewa in advance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…