namzukia na mwiko ... kama ntamkosa kichwa basi .... popote pale halali yangu
namzukia na mwiko ... kama ntamkosa kichwa basi .... popote pale halali yangu
I wish uwe my wife coz 'i will teach you a lesson'.....!
I wish uwe my wife coz 'i will teach you a lesson'.....!
I wish niwe jirani yenu,mnasemaje?
Hmmm! utakuwa umechokoza ukooo mzima ... ila dont underestimate me .. u may learn a lesson too from then onwards ... nikikungangania sehemu moja na meno ... hakiayanani vile wananibandulia muhimbili
mama wawili bought a new handset and a new line.
She wanted to surprise her husband.
darling kata nitakupigia baadae kidogo, hili lijinga liko jikoni saa hizi likisikia litaanza ile mikelele yake, nalilia timing nitalitoka sasa hivi"
he then hanged up.
ungekuwa wewe ungefanya nini kwa huyu mwanaume???
mwambie Manda .. hata kama ni rijali vipi akipigwa kofi ya ghafla tena na mwiko atashinyaa mpaka apate sababu itakuwa too late ... alafu akinijia hizo kelele tu atakoma .. jirani usiwe tu na ugonjwa wa moyo maana utakufa kabla hujaokoa jahazi
Natamani niwe house boy wenu maana,hasira zako kwa manda mie ntakua kipozeo chako au vp?