Ingekuwa wewe ungefanyaje kiukweli?

madereva taxi kwa umalaya.......hapo hata simuonei huruma...

kula uliwe
 

Ingekua mimi nisingemuuliza unakwenda wapi, ningefuata maagizo ya mteja wangu ningempeleka mpaka guest bila kumuuliza then nikisha mfikisha ndo wangenieleza vizuri wote wawili.
 
ningeuchuna nikamfikisha kwa boss ningevuta mshiko halafu ningeenda kumshtua mke wa BOSS aje afanye VARANGATIIII

Hapo ungeharibu, kitendo cha wewe kumwendea mke wa boss ungekuta mkeo kaishaliwa.
 
nampeleka kwa aliyetufungisha ndoa na kumwambia aifungue hiyo ndoa haraka then nampeleka kwa boss akiwa tayari sio mke wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…