mmmhhhhh hiyo kazi jamani.......why?
hapo ni ngumu mwanamke kuelewa,lakini ukweli utabaki uweli kuwa hajui aliyeiweka hapo.....amueleze mkewe ukweli kama ulivyo.....
najua inatia hasira lakini kama anampenda mumewe atamsamehe tu baada ya muda....asiyumbe kwenye maneno yake,wala kudanganya.....