Ingelikuwa mwaka jana 78% wangelipata zero na div 4 mbaya.

Ingelikuwa mwaka jana 78% wangelipata zero na div 4 mbaya.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Naomba tulinganishe madaraja yaliyokuwa yakitumiwa na Necta kabla ya madaraja mapya.

alama zilizokuwa
zikitumiwa awali na Baraza la Mitihani la
Taifa (Necta) katika kupanga matokeo
hayo, kwa kidato cha nne ni A=80-100,
B=65-79, C=50-64, D=35-49, F= 0-34 kwa
upande wa kidato cha sita A=80-100,
B=75-79, C=65-74, D=55-64, E=45-54,
S=40-44 na F= 0-39.
Alisema mfumo mpya, umehusisha alama
za kidato cha nne na cha sita na kuwa
kuanzia sasa A=75-100, B+=60-74,
B=50-59, C=40-49, D=30-39, E=20-29 na
F=0-19.

NB: necta walishasema hawajawahi kutumia madaraja ya
0~20=F
21~40=D
41~60=C
61~80=B
81~100=A
 
dah! Ningemaliza saiv, ningekuwa na bonge la cv
 
Back
Top Bottom