Ingelikuwa ni wewe ungemfanya kitu gani huyu mbwa?

Mbona kapita hapo hapo jamaa aliposimama😂

hio pic ni ya uongo
 
Ingekuwa fundi ni mhehe mbwa angekuwa mda huu anatokota kwenye sufuria yenye viungo vyote vya kuiongezea ladha nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…