Utegemezi ni ugonjwa mbaya zaidi ya ukoma.
Neway kama uko tayari na huamini unaweza kupata msaada kwingine unajitoa mhanga. . . Kama unajiamini unaenda tafuta ATM nyingine. . ikiwa ulipata ya kwanza surely you can get another.
Kweli! Yaani kabisaaa, unakataa, naamini ndugu zako hawatakuelewa na watakushambulia sana, kumbuka kwamba walishazoeshwa asali na maziwa..............................
Kweli! Yaani kabisaaa, unakataa, naamini ndugu zako hawatakuelewa na watakushambulia sana, kumbuka kwamba walishazoeshwa asali na maziwa..............................
Mmmmmh, yaelekea yakikukuta lazima utatimiza matakwa ya huyo jamaa.hili swali hakuna ke atae jibu ukwel, unajsumbua tu. Hata mm cwezi ila hayajankuta kuweza toa jbu sahh.
hili swali hakuna ke atae jibu ukwel, unajsumbua tu. Hata mm cwezi ila hayajankuta kuweza toa jbu sahh.
Heri wewe umesema kweli madam, maana majibu ya maswali mengine hayapatikani papo kwa hapo. Kuna wakati lazima mtu atajiuliza mengi na kupima hasara na faida za uamuzi wake. Wapo ambao sodomy ni sehemu yao ya sexual practice, lakini hapa lazima atajishebedua eti hawezi fanya hiyo kitu ili hali anafuhia hiyo tabia ya kukaanga chapati na 'actually' hawezi bila pata hiyo kitu!

Mtu akishakua tegemezi,yani tegemezi haswa anaweza kufanya chochote kile hata kama hapendi wala hakuwahi kufikiria angefanya hivyo. Maana watu kama hao wanaongozwa na yale wanayopata badala ya wanayoamini.Ndio maana wengine wanatolewa manundu asubuhi,usiku na mchana ila hawathubutu kuondoka japo wanatamani kufanya hivyo.Si umeona sasa! tuweni wakweli, kama alivyosema My Daughter Lizzy, utegemezi unaweza kusababisha ukauza utu wako............... Hii mada ni tafsida tu, hebu angalieni kinachotokea katika nchi yetu, Cameron kasemaje!? Viongozi wetu watasimamisha mishipa ya shingo kupinga, lakini tunao ubavu huo! Utoke wapi!?
Mtu akishakua tegemezi,yani tegemezi haswa anaweza kufanya chochote kile hata kama hapendi wala hakuwahi kufikiria angefanya hivyo. Maana watu kama hao wanaongozwa na yale wanayopata badala ya wanayoamini.Ndio maana wengine wanatolewa manundu asubuhi,usiku na mchana ila hawathubutu kuondoka japo wanatamani kufanya hivyo.