hili swali hakuna ke atae jibu ukwel, unajsumbua tu. Hata mm cwezi ila hayajankuta kuweza toa jbu sahh.
Unategemea wanawake wafunguke hapa?Umekosea,hata ukikutana na mwanamke anaefanya hako ka mchezo hawezi kukuambia kweli,atakaa kimya,hata ukimwambia"nataka na huku"atagoma,ukilazimisha atakubali,lakini wakati wa tendo utashangaa njia haina nyasi,ikimaanisha watu walishapita zamani!
Hawatakuamini, watakuona kuwa umzushi, watasimama upande wa huyo jamaa kumtetea kuwa unamsingizia..................................
Yaani my Daughter una akili wewe.................. kuna wanawake wengi kiasi cha kutosha ambao wanaishi kwenye uhusiano wenye kila aina ya unyanyasaji, lakini katu hawafikirii kutoka katika uhusiano huo............. Na sababu kubwa ndiyo hiyo uliyosema, 'wanaongozwa na yale wanayopata badala ya wanayoamini.'
Kwanza jambo lenyewe halifanywi hadharani, unafikiri kitakachokwenda akilini kwa mwanamke huyo ni kitu gani............! 'Ngoja tu nimkubalie, kwani ni nani atajua?'
They should dare to talk openly.................!!!!!!!!!!! LOL
Hehehhe nimependa hiyo "kwani nani atajua". . . as long as no one knows there is no one to judge.Hiyo inafanya hata mambo mabaya yasionekane ni mabaya sana kwenye macho yamtendaji maana hamna anaejua.
Hao watakaonilalamikia nitawaambia wakapange nyanya wauze, wapate asali na maziwa,
nikiona hawanielewi nitahama niwaachie nyumba.
Utakuwaje tegemezi?
1.Kwa kukosa maarifa na msukumo wa kujituma. . .
Unakuta mtu hajasoma hivyo inakua ngumu kupata kazi inayorequire kisomo. . . zile za kawaida na ujasirimali anapuuza maana hapendi kujituma.
2.Malezi na mazoea. . .
Kuna watu katika kulelewa kwao walizoe kila kitu kinatoka kwa baba/mama mpaka umri ambao ni mkubwa sana.Yani wanaendekezwa. . . sasa ikitokea yule mzazi hayupo tena au hana uwezo wa kumpa mahitaji yake mtoto (ambae ni mtu mzima sasa) anatafuta pengine pa kutegemea maana hakufunzwa kujitegemea.Watu hua wananyanyasika kweli kwa hii hali. . . ndio maana ni muhimu kuwafundisha watoto kujitegemea kihisia. . . kimatendo na kimawazo.
3.Kutokujiamini. . .
Hii inaweza kuzaliwa namba mbili hapo juu. . . au ikawa tuni matokeo ya low-self esteem and morale.
4.And then there is the Dependent Personality Disorder. . .
Unakuta mtu yeye kama yeye haamini kwamba anaweza kujitosheleza mwenye (emotionally. . financially. . .au hata kimawazo) Yani lazima ategemee watu wengine. . . hivyo ndivyo alivyojengeka.
Kwa hiyo tukubali kuwa kuna uwezekano asilimia 75 ya wanawake wakakubaliana na jambo hilo kimya kimya!.................................. 'Kwani nani atajua?'
Kwa hiyo tukubali kuwa kuna uwezekano asilimia 75 ya wanawake wakakubaliana na jambo hilo kimya kimya!.................................. 'Kwani nani atajua?'
Kusudi haiambiwi pole
Mmmh labda tuseme "wanawake tegemezi" na sio wanawake tuu.
Mtu ambae sio tegemezi atafanya kwasababu yeye ameridhia (anapenda. . .taka. . .tamani) bila kujali uzuri au ubaya wa tendo . . . badala ya kufanya kwa kulazimika huku akijipa moyo kwamba "hamna atakaejua".
Kwanza kwa nini wakulalamikie? Wao hawana tigo zao? Si wampe jamaa?
Afu mi naona kama ni kudhalikika. Familia nzima mnahemea kwa shemeji jamani? Ina maana hamuwezi kufikiria hata ufundi baiskeli mkaweza kujitegemea?
Hehehe I guess not.
Ila jamii yetu inachangia kwa kiasi kikubwa kujenga watu tegemezi.
Hehehe I guess not.
Ila jamii yetu inachangia kwa kiasi kikubwa kujenga watu tegemezi.
Dingi, sio habari ya nani atajua! Mapenzi ya demands za namna hii mwisho wake haujulikani. Kesho akikuambia mi nataka 'gang sex' utamjibuje ilhali ushajilipua. Dawa ya mapenzi ya siku hizi ni kuwa a 'selfish bitch', never go out of ur way to please ur partner becoz tomorrow might never come!