britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kuna masuala hufanya mtu muda mwingine anunue akaunt ya mtu kulingana na vigezo vyake tu
1.Jina lilivyo
2. Idadi ya followers
3. Aina threads na comments
4. Attention
5. Uthubutu katika michango ya awali,
Kwa upande wangu ningenunua zifuatazo
1 BAK Ni akaunt yenye kutoogopa jambo na kuchangia akiwa huru kuliko hata Mello mwenyewe,
2. Pascal Mayalla kwakweli uchambuzi wake na predictive comments zake zinafanya usichoke kusoma alichokiandika , ukiwa unamiliki akaunt ya hivi ni vema. Katabiri mpaka ujio wa chuma
3. Miss Natafuta kwenye jukwaa letu pendwa lile anaweka kachumbari fulani nazipenda wallah
4. GuDume gwa mbegu yake huyu napenda kusoma story zake nikiwa na stress, ana Burundi fulani unakufanya ufurahie kama Ile Nilichomoa nikavaa surual nikaweka shati begani nikaondoka, alinitafta mwezi mzima Hahah hataru sana,
5 Shunie , yna12 hawa watoto hawa na avatars zao mhh hatari
6. Demiss roselina john Masweeter hawa bwana wana masilede hatari
7 The Boss Huyu aina ya comments fupi.fupi tu ndo zinafanya akaunt yake kuvutia kila atiapo neno
8. Malcom Lumumba Huyu mtaalamu wa masuala ya Kimataifa, basi akaunti yake ingekuwa inauzwa ningeinunua dau kubwa na kubadili password,
9. ONTARIO mzee wa forex na masuala ya exchange huyu pia Ana unaelewa mambo mengi sana ya Kimataifa na fedha,
10. venchwa Husle zake na watoto wa kifilipino
11. Rebeca 83 huyu naye sijui anaiuza.sh ngapi.maana napenda Ile comments yake ya shenzi wee
12. Nyani Ngabu hahaha anajua kuwachezesha kwata makamanda haha
13 kapeace huyu avatars zake inaonekana mpole
14. Mshana Jr mambo ya tunguri
15 Bujibuji haeleweki Ccm au Cuf
Hizi ningezinunua kwa gharama yeyote, wewe je