Ingeteuliwa siku moja tu ya kufanya mapenzi kwa wiki, duniani kote

Ingeteuliwa siku moja tu ya kufanya mapenzi kwa wiki, duniani kote

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Leo nimeamka tu wazo la kwanza kichwani kwangu.ndi likawa hilo.

Je, wewe unalionaje wazo langu?
 
Jumapili+Ijumaa+Jumamosi ni siku takatifu za ibada kwa watu wa dini mbalimbali. Jumatatu ni siku ya Hangover za weekend, Jumanne ni siku ya kazi nyingi sana kutokana na kulimbikizwa na uchovu wa Jumatatu. Alhamisi weekend inaanza.
Siku nzuri itakua ni Jumatano, hapo itakua ni full mahaba, fullmahabat.
Naunga mkono hoja!
 
Hapo ingekuwa utata kwa sie watu wa wake wengi.... Ratiba nitapangaje?

saa 1 asubuhi unaenda kwa mabibo
saa 4 as unaenda kwa yule wa mbagala kule rangi3
saa 7 unapanda hadi morogoro afu unarud saa 10
saa 11 unabaki na huyo wa nyumba ya pili hapo
saa 1 jion unachomokea kwa wale wa uwanja wa fisi au buguruni
saa 4 ........
saa 7...

hayo masaaa niliyoruka unapumzika na kula
 
Back
Top Bottom