Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
JipangeHapo ingekuwa utata kwa sie watu wa wake wengi.... Ratiba nitapangaje?
Daaah sijui hii tume itachukua siku ngapi?
Daaah sijui hii tume itachukua siku ngapi?
kitu ya afya hiyo mara tatu kutwa nzima
Umeona eeh!
Ikiwekwa ratiba ya lazima watu wataumwa.
mzabzab anaweza akawa anaujua!haha haaa tena ugojwa wenyewe utaitwaje vile..........
mzabzab anaweza akawa anaujua!haha haaa tena ugojwa wenyewe utaitwaje vile..........
Ni kweli kabisa tena iwe Jumatatu au Ijumaa
Hapo ingekuwa utata kwa sie watu wa wake wengi.... Ratiba nitapangaje?
Hahah unajua mzabzab bila suala la kugegeda bana comment haikamiliki!
kwanini iwe siku unadhani....mi nafikili ingekuwa jumatano