Ujue unafiki tuweke pembeni!
Adui akikosa na wewe kama una mmudu malizana nae
Laiti mbowe angeshinda wale watoto walikuwa wameandaa masimango makubwa hatari!
Haya ni machache tu!
1. Wafuasi wa lissu tuliwaambia kura ni ujasusi wa namba mbowe ni alpha na omega
2. Lisu tulimuonya hakusikia mtoto akililia wembe mpe, wajumbe ni wembe wameamua sasa akalilie kwa waliomtuma
3. Lissu bado mgonjwa yule sasa tunamuonya arudi kwenye matibabu ubelgiji
4. Mbowe ni chadema na chadema ni mbowe wafuasi wa lissu sasa watulie tuwafundishe siasa za kijasusi
5. Kuna vicheche vya lisu kama Lema tuliwaonya wasitoke mashimoni wakaidi matokeo wameyaona
6. Tuliwaonya kura hazipigwi mtandaoni na wavuta bangi bali na wajumbe.
7. Tulihakikisha kura zote za wajumbe kutoka Zanzibar ziwe za mbowe
8. Vijana kama Heche tuliwaonya wasinyanyue mabega
9. Lisuu ni Pandikizi la ccm limekatwa, Demokrasia Imeshinda
10. Odero tulimuweka sisi ili kupunguza kura za lissu mbowe ashinde
11. Wanachama watulie waheshimu kura za wajumbe zimeamua kwa mujibu wa katiba ya chama
12. Lissu amfuate shoga yake maria space kenya hiki chama watuachie
13. Dr. Slaa uzee unamsumbua wala hakujua analolisema mbowe kakilinda chama dhidi ya waharamia waliotaka kutupora chama........
Ongezeeni na masimango mengine ambayo tungepigwa!.....