Car4Sale Ingia hapa chagua Gari (Magari mazuri bei nzuri) wazee wa kulenga!

Tunzo Qualitycars

New Member
Joined
Sep 3, 2019
Posts
1
Reaction score
176
Kwa wapenzi wote magari mazuri kama unahitaji kumiliki gari aina yoyote ile, kila siku pitia uzi huu.. na kama sijalipost wewe nicheki kwa simu, nikupatie gari la ndoto zako.

Magari ni used hapa Tanzania na pia kama unahitaji kuagiza basi tutakuagizia toka nje ya nchi.

Magari nimengi sana yanayouzwa hasa kwa wazee wa kulenga hapa Tanzania.
Nitakua napost magari humu chaguo ni lako,

Na kama hujaona basi wasiliana nami kwasababu magari yapo mengi, huenda nisiwe nimelipost kumbe lipo. kuyapost hapa inaweza ichukue miaka mitano!

Wakuu kama nilivyosema kama sijapost hapa wewe wasiliana na mm, nahakika siwezi kukosa, Connection ni kubwa sana gari utapata.

Pia kama unahitaji kuuza gari yako, wewe wasiliana na mm au fika ofisini tukuuzie gari yako, iwe kwa sisi kununua au kukutafutia mteja

Ofisi zipo Mwenge mitaa ya Rufungira.
Fika ofisini au nichek kwa

0713415537

Pia unaweza kupitia page yangu Instergram ya
"magari_tunzo_tanzania"
kwa magari zaidi ya kila siku




Note: Magari yote bei inaongeleka!

Tuanze na chuma hiki.

Toyota Rav 4 for sale

Vehicle information:

Make: Toyota
Model: Rav 4
Year: 2001
Mileage: 100,000km
Engine size: 1990
Engine 1az
Seat capacity:5
Fuel: Petrol
Silver colour
Transmission: Automatic
Location:Mwenge
Good tyres
Full documents
Price:Milion 13M

AC | PS | ABS | AW | RSP | AUDIO | CD |

RE-MARK:
[emoji830]︎Gari bado Nzur sana
[emoji830]︎Gari iko Kwenye ubora ina muonekano mzuri

Picha zaidi whatsapp


 

Attachments

  • IMG-20190911-WA0058.jpeg
    61.3 KB · Views: 71
  • IMG-20190911-WA0055.jpeg
    64.5 KB · Views: 61
Hyo vits old cx nkuletee 3.5
 
Mkuu kulenga ni kulinganisha aina ya gari na bei inayouzwa... Labda kwa sabbu umesema hauuzi za kulenga tu wacha tusubiri ila so far bei zako ni kama za siku zote tu nothing new hapa
 
Jifikirie hapa, 7M nikutafute mkuu.
 
Gari inaweza kuwa namba D afu kwa hiyo bei bado unaweza ukawa umepigwa... Inategemea na hali ya gari mzee usikariri namba. Zipo namba B zimepaki tu au ruti masaki ruti m city na ikawa imenyooka kuliko hizo D
 
unaweza kuweka picha za carina T.i silver colour namba D na bei yake isiyozidi 7.5M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…