Car4Sale Ingia hapa chagua Gari (Magari mazuri bei nzuri) wazee wa kulenga!

Wewe una ufahamu wa magari, wengi hawajui kuwa mengine yameuzwa kwa minada baada ya kutumika serikalini vya kutodha na vikapewa namba D
Gari inaweza kuwa namba D afu kwa hiyo bei bado unaweza ukawa umepigwa... Inategemea na hali ya gari mzee usikariri namba. Zipo namba B zimepaki tu au ruti masaki ruti m city na ikawa imenyooka kuliko hizo D
 
Unashangaa unakuta ile Rav 4 ya mwanzo ina miaka 5 ipo Tanzania..lakini inauzwa 13,000,000 ambayo ni $5600 yani bei ya Japan kabisa hadi unashangaa hawa madalali matatizo yao ni yepi..

Mambo ya salvage value kwao hayahusiki!!
 
Watanzania ndio maana hatuendelei, mtu anaenda japan kulinunua gari kwa milioni 3 analileta bongo analiuza milioni 10 mpaka 15...hii ni dhuluma kabisa..mleta mada kama na wewe uko hivyo acha..
 
Hapa tatizo ni hiyo rangi ya mavazi ya Humphrey polepole....
 
Kwa hiyo ulitaka kodi akulipie then akuuzie kwa mil 3.5 hapa wa kulaumiwa ni serikali ina kodi kubwa mno kwenye importation ya magari.
Watanzania ndio maana hatuendelei, mtu anaenda japan kulinunua gari kwa milioni 3 analileta bongo analiuza milioni 10 mpaka 15...hii ni dhuluma kabisa..mleta mada kama na wewe uko hivyo acha..
 
Kwa hiyo ulitaka kodi akulipie then akuuzie kwa mil 3.5 hapa wa kulaumiwa ni serikali ina kodi kubwa mno kwenye importation ya magari.

Sina maana hiyo...nachomaanisha wasitangulize tamaa mbele ya kutaka faida kubwa...wanatuumiza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…