Mnyongeni Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 628
- 731
Madalali wanatupiga hatari!Page ya 3 nimeona gari amepost ndugu yetu toyota IST imechorwa kwenye kioo 5.5M
ila boss kubwa hapa yeye tangazo lake kaweka 7M
View attachment 1269277
tena wanatupiga kisawa sawaMadalali wanatupiga hatari!
OI HII IPO MKUUScania complete na tela lake
50 million..
karibuni sana
Contact 0713415537View attachment 1214723View attachment 1214724View attachment 1214725
Asikutishe hiyo gari mpya kabisa ni around 150M. Huko 250M ni mbali sana kwa hiyo gari. Used inategemeana na muuzaji na mambo mengine.Asante mkuu, be bessed
0713415537