House4Sale ingia hapa ujipatie nyumba ipo MIKWAMBE

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
Habari.

Nyumba inapatikana Mikwambe-Kigamboni DSM, karibu na site ya mh. Ndugai (kitu maarufu).
Eneo limepimwa na ina hati tayari. ina eneo la skwea mita 801,
Nyumba ina vyumba viwili na master bed, sebule, dining na store.






Wiring ndani tayari, umeme pia upo jirani na nyumba


Bei ni 70M (milioni sabini)

Kwa mawasiliano check na namba ‭0711 352 361‬

Asante.
 
Kwa hiyo ulivyosema ipo karibu na ndungai ili iweje

Kama utahitaji kuiona physically. Huo mtaa unajulikana hivyo ndio maana nimefafanulia kwenye mabano, nilijua mamluki hawawezi kosekana
 
Zimeshuka ee Kuipata hiyo ml70 atajamba cheche?

Hahah mkuu hapana bwana, kitu tayari hapo ni kuingia na godoro tu kulala kila kitu kipo okay.

Kuliko kununuavile vijumba vya nssf bora uje hapo
 
Kuwa tu karibu na huyo kidudu mtu cwezi kununua hata uniroge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…