House4Sale ingia hapa ujipatie nyumba ipo MIKWAMBE

Kuwa tu karibu na huyo kidudu mtu cwezi kununua hata uniroge
Sawa mkuu lkn ni plot tu sio kwamba anaishi apo, na nimeaikia anaiuza mil 90 maana injinia wake alifeli
 
Milioni 70 nyingi sana. Mimi nina 25m maana nimeshituka umeme na maji hakuna...
 
Kwa mfano ungeimalizia ingecost kiasi gani juu ya hio 70m?
 
Mikwambe ni WAPI ? Fafanua zaidi address kwa kutaja maeneo yanayojulikana zaidi kama chanika , tegeta , kigamboni, kimara suka , goba , ??? Sijawahi sikia "Mikwambe"
 
Sawa, lakini unajua kwamba kwahivi sasa Milioni 70 inatosheleza kupata Nyumba Iliokamilika? hapo kinachokubeba ni eneo kilipo kiwanja, na sio hio nyumba. Milioni 45 inaweza kua bei sahihi.
 
Sawa, lakini unajua kwamba kwahivi sasa Milioni 70 inatosheleza kupata Nyumba Iliokamilika? hapo kinachokubeba ni eneo kilipo kiwanja, na sio hio nyumba. Milioni 45 inaweza kua bei sahihi.

Ni eneo ndio mkuu, nyumba iliyokamilika yenye sifa hizo!?

Lakini kama upo interested tuwasiliane biashara ni maelewano
 
Mikwambe ni WAPI ? Fafanua zaidi address kwa kutaja maeneo yanayojulikana zaidi kama chanika , tegeta , kigamboni, kimara suka , goba , ??? Sijawahi sikia "Mikwambe"

Ipo kigamboni mkuu, ukifika feri una panda gari za kuelekea t/ngoma utashuka kituo kinaitwa chekechea.

Bila shaka umepapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…