Ingia hapa utajirike

Ingia hapa utajirike

mapanga3

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
665
Reaction score
633
Yafahamu mambo ya msingi yanayoweza kukutajirisha haraka.
1. Mche Mungu na kumtegemea YEYE.(omba Mungu kupitia jina la Yesu).
2.Tafuta elimu na ufahamu kwa bidii na maarifa.
3.Panga malengo na kuyasimamia mpaka yatimie.
4.Fanya kazi kwa bidii na maarifa
5.Kuwa n nidhamu ktk matumiz ya pesa na muda.
6.Yaone matatizo ni kama changamoto na wala si vikwazo.
7.Ipende na kuithamini kaz yako.
8.Tunza kumbukumbu za matumizi ya fedha.
9.Fanya tathmini ya utendaji wako mara kwa mara.
10.Jibidiishe kutafuta ufahamu au elimu juu ya shughuli uifanyayo.
11. Usiweke waz mipango yako kwa kila mtu.
12. Jiamini
13.Puuza wataabishaji. (wakatisha tamaa)
14.Mshukuru Mungu kwa mafanikio uliyoyapata. Mungu ameweka uwezo mkubwa ndani yako jiamini tu. Karibuni kwa maswali na michango.
 
Nakubaliana nawewe. Nyongeza tu katika zifutazo.
2.Lakini siyo elimu ya kudesa Kama ya bongo.
4. Lakini siyo Kazi ya kuajiriwa.
11.wakati mwingine ni vizuri ku share plans and ideas kwa watu ambao unafikiri wanaweza kuboresha wazo Lako.
8. Tumia hela ikuzoee.
 
Imind nakubaliana na nyongeza ya points zako lakn nakataa namba 8. Kaz inayozungumzia ya kujiajiri, matajiri wakubwa wote karbu wamejiajiri wenyewe. Kuhusu elimu ya bongo haitoi fursa ya kujiajiri kwahyo ni vyema kutafuta ufaham na elimu kwa walio tangulia
 
Mapanga3 unaweza kutupia uzoefu wako ktk hili ulolianzisha? Kama umejiajiri em tugawie uzoefu ikiwa ni pamoja na historia ya shughuli zako
 
You have said it all mapanga3 Ahsante sana.Najua everything of good a person desires is his/hers.
 
Last edited by a moderator:
Chuma2 unataka nin zaid? Uzoefu wangu nimeshakupa haya niliyaandika ndiyo ninayoyazingatia ktk shughuli zangu. Mm si muajiriwa bali mimi ni muajiri. Ukitaka meng zaid njoo pm.
 
kuna kitu umekisahau mleta mada 15. kama unamwamini Mungu usisahau kupanda, kwani huwez kuwa na mafanikio (mavuno) bila kupanda yaani kuwakumbuka mayatima,wajane, na masikini n.k waliokuzunguka ktk jamii yako na pia usisahau kumtolea/kumrudishia Mungu matoleo kwa njia ya sadaka,uimbaji n.k sawa sawa anavyokujalia!!
 
Back
Top Bottom