mapanga3
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 665
- 633
Yafahamu mambo ya msingi yanayoweza kukutajirisha haraka.
1. Mche Mungu na kumtegemea YEYE.(omba Mungu kupitia jina la Yesu).
2.Tafuta elimu na ufahamu kwa bidii na maarifa.
3.Panga malengo na kuyasimamia mpaka yatimie.
4.Fanya kazi kwa bidii na maarifa
5.Kuwa n nidhamu ktk matumiz ya pesa na muda.
6.Yaone matatizo ni kama changamoto na wala si vikwazo.
7.Ipende na kuithamini kaz yako.
8.Tunza kumbukumbu za matumizi ya fedha.
9.Fanya tathmini ya utendaji wako mara kwa mara.
10.Jibidiishe kutafuta ufahamu au elimu juu ya shughuli uifanyayo.
11. Usiweke waz mipango yako kwa kila mtu.
12. Jiamini
13.Puuza wataabishaji. (wakatisha tamaa)
14.Mshukuru Mungu kwa mafanikio uliyoyapata. Mungu ameweka uwezo mkubwa ndani yako jiamini tu. Karibuni kwa maswali na michango.