Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Nawasalimia wote wana JF,
Karibu tena katika mwendelezo wa Sayansi ya kiroho. Leo nitaongelea jinsi gani sauti inaweza ikakusaidia kujikuta unaongea na nafsi yako au kukurahisishia kufanya Lucid Dreaming, Astral Projection (Meditation).
Watu wengi sana wamekuwa wanaogopa sana kufanya meditation au inakuwa ngumu sana kwao kujua namna ya kufanya. Leo nitaongelea namna gani ya kuingia katika ulimwengu wa roho kwa kutumia sauti.
Kwanza kabisa masikio ya mwanadamu yana uwezo wa kusikia kuanzia 20 -20,000 hz. Tafauti na hapo sikio haliwezi kupitisha sauti kuelekea kwenye ubongo. Mwanadamu hawezi kusikia frequency chini ya 20.
Kunahatua moja ya wanasayansi na wagunduzi waligundua miaka ya nyuma zaidi (Binaural beats) imekuwa ndio msaada mkubwa sana kwa mwanadamu kuweza kuuambia ubongo usikie frequency chini ya 20.
Hatua ya kufanya hivyo ni rahisi tu ni kwamba unakuwa na frequency mbili zenye tofauti ya frequency chini ya 20. Mfano 300hz na 310hz sauti moja inapigwa kwenye siko la kushoto na sauti nyingine sikio la kulia.
Hapo itasababisha ubongo utengeneze friquency yake kwa sababu utashindwa kutafri. Utatengeneza frequency ya 10hz ambayo sikio haliwezi kupitisha.
Wataalamu wanasema frequency zinazotumika ni lazima ziwe chini ya 1000hz. Na baada ya ubongo kutafsri ukakuwa na uwezo wa kuwasiliana na consciousness yako.
Mara nyingi sauti frequency tofauti katika masikio hutumiwa natechnologia ya stereo. Katika kila utofauti wa hizo frequency kuna matumizi yake. Nitaweka chart hapa na utaangalia namna gani itaweza kukusaidia:
>40 Hz Gamma: Higher mental activity, including perception, problem solving, fear, and consciousness- Haya ni matumizi yake.
13–39 Hz Beta waves: Active, busy or anxious thinking and active concentration, arousal, cognition, and or paranoia
7–13 Hz Alpha waves: Relaxation (while awake), pre-sleep and pre-wake drowsiness, REM sleep, Dreams
8–12 Hz Mu waves Mu rhythm, Sensorimotor rhythm
4–7 Hz Theta waves Deep meditation/relaxation, NREM sleep
< 4 Hz Delta waves Deep dreamless sleep, loss of body awareness
Unaweza ukawa unasikiliza mziki ambao ndani yake kuna frequency tofauti kwenye mziki huo kwenye sipika tofauti.
Hii inafanya kazi kama mtu anasikiliza mziki huo kwa kutumia spika au headphone.
Mara nyingi Alpha huwa inatumika sana kwa wale wanaotaka kufanya Lucid dreaming. Jaribu kutafuta mziki au mlio wenye frequencies zinazotofautiana katika kila sikio.
Jaribu kufanya hivyo kwa mda wa siku kuanzia saba na kuendelea utaona tofauti. Unakuwa na uwezo wa kuanza ku access nafsi yako na kuanza kujua vitu vingi.
Hakika kwa kufanya hivyo utajua mengi
Karibuni
aretasludovickchaUkucha