Nguvu za kiume kwa maana ya uwezo wa kuirect hazipungui hata kidogo, isipokuwa kwa bahati mbaya, ile mirija inayopitisha shahawa inaweza kukatwa kwa hiyo ikasababisha ugumba kwa mwanaume, hasa kama imekatwa yote. Mfumo wa erection na sperm production na transport haiingiliani.