Inholland university ama Inholland hoogschool diemen,kimepata scandal ya kuwa kimekuwa kikitoa vyeti kirahisi kwa ajili ya kupata subsidy serikalini,wanafunzi waliomaliza karibuni imewachanganya Sana kutokana na scandal hili,itawawia vigumu katika market ya kazi,maana hizi habari ya hichi chuo imekuwa public hapa na habari ya kitaifa,kwa hiyo wale wanaotaka kuja kusoma hapa siku za mbeleni hapa Netherlands wawe makini na hichi chuo.