Inj Hersi na Try Again waitwa CAF

Inj Hersi na Try Again waitwa CAF

Wakuu umofia kwenuu!

Rais wa Yanga na Director wa Simba wameitwa CAF kuuhudhuria mkutano wa kuanzishwa chama cha vilabu Africa utakaofanyika Leo.

My take: kwa nini asiende Mangungu ambaye ndie chairman?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Eng Hersi anawakilisha Yanga km chairman wa club , Try again yy kaenda km mwenyekiti wa bodi ya simba .. Huu mwaliko ukoje
 
Kuna uhuni wanafanyiwa wamiliki wa hisa 51%.gawio lao kubwa ni matusi
 
Back
Top Bottom