valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Eng Hersi anawakilisha Yanga km chairman wa club , Try again yy kaenda km mwenyekiti wa bodi ya simba .. Huu mwaliko ukojeWakuu umofia kwenuu!
Rais wa Yanga na Director wa Simba wameitwa CAF kuuhudhuria mkutano wa kuanzishwa chama cha vilabu Africa utakaofanyika Leo.
My take: kwa nini asiende Mangungu ambaye ndie chairman?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Una akiliWameitwa kwa majina yao au timu ilitumiwa nafasi kisha ikachagua mtu wa kwenda
Mdogo wangu kipepeo siku hizi wa moto sana😂😂Ukienda hata wewe inatosha😂😂
🤣🤣Kawaida tuMdogo wangu kipepeo siku hizi wa moto sana😂😂
Uko lkn?🤣🤣Kawaida tu
Yap napambana na mkolonUko lkn?
Tulia wewe😂😂kama huyu nimdogowako basi wewe utakuwa nikibabu😁😁😁
Acha upotoshaji.Wakuu umofia kwenuu!
Rais wa Yanga na Director wa Simba wameitwa CAF kuuhudhuria mkutano wa kuanzishwa chama cha vilabu Africa utakaofanyika Leo.
My take: kwa nini asiende Mangungu ambaye ndie chairman?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Sana mkuu mimi kibabukama huyu nimdogowako basi wewe utakuwa nikibabu😁😁😁
Ulinifahamia wapi?nakufaham vizuri sanaa
Tuma tu huenda ndo mm au siyo mm🤣si mlikubaliana humu jf kuwa mie ni dume😂😂😂nikutumie pichayako hapa?huta maind mrembo?