Wakuu natafuta injector pump ya mistubish rosa 4d33 gari hii ilikuwa inatumia injector pump ya umeme imenizingua kwa hivyo nataka kuweka ya kawaida inayo tumia planjer je naweza kupata sehemu gani? Na bei zake zinasemaje nashukuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app