Injili kwa ndugu zangu waislam

Injili kwa ndugu zangu waislam

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,357
Reaction score
1,596
Quran inasema injili na torati ni neno la Mungu na inakumbusha kuwa hakuna mwanadamu anawezakubadili neno la Mungu.

Unaposema Bibliia iliaribiwa unakuwa kinyume na Quran, maana kwa mujibu wa Quran huwezi kuaribu neno la Mungu.

Mungu aliumba mwanadamu kwa mfano wake, inaposema Mungu afanani na kitu chochote utakuwa kinyume na Qurana maana Mungu ana mdomo, ana miguu, ana Mikono.

Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom