Injili ya Gheto

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Gheto 1 mstari wa 1 mpaka wa 9,

Nae msela yeyote atakaekuja gheto bila taarifa Nami nawaasa mpeni maji tu ya kunywa huku nyinyi mkijimomosoa Kula nyama na wali uliobaki jana yake usiku, kwa maana ukimuhudumia kwa matakwa yake basi hatoacha kuja gheto kwako ambako atapafanya ni pa kuponea,


Gheto 2 mstari wa 5 mpaka 7,
Nami nawaambia baharia yeyote anaekuja na demu mkali huwa hanyimwi gheto, mnyimeni chakula na malazi lakini akija gheto na demu mpeni na box la Condom.


Gheto 3 mstari 7 mpaka 10,
Na awaye yote ukishachakata papuchi yako iliyonona usiache ipite bila majirani wanaokuonea wivu kujua,
Waonyesheni watu wote kwamba wewe uuh lijari, wafumbie macho wasiotaka kukupa tamu zao nami nawaambia ukishajifanyia hayo yote lazima utauona ufalme ule uliotukuka,




Endeleza hii injili ya Gheto____________!




Cc Zero Iq
 
Gheto 4 mstari wa 10

Baasi baharia akawaona baadhi ya mabaharia wamevaa nguo za kike vipuli na mwendo wa madaa wa kidada akauliza "" ninyi ni kina nani mjifanyishae na mademu hakika hamutauona ufalme wa papuchi""basi wakacheka hehehe aloooh ...ilibidi baharia aondoke kwa kunywea


Ghetto 4 mstari wa 11
Hivi unadhani baharia kuwa na demu mmoja ni ujanja hapana huo ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu na baharia mpumbavu atavunja ghetto lake kwa mikono yake mwenyewe


Ghetto 4 mstari 12
Hakika ni vyema michepuko yetu tuifiche waifu asijue,,,akauliza mwana "" lakini baharia je wakijua je tusipoificha "basi akajibu utapambana na kitakacho kukuta

Ghetto 4 mstari wa 13
Wako wapi mabaharia waliopoteza marinda kisa wake za watu wakowapi mabaharia waliofungwa miaka 30 kisa kutembea na wanafunzi hakika hawakuchoka kutuongoza na kutetea hadhi ya mabaharia
 
Gheto 4:14

Basi nami nawapa siri mabaharia wote,ukikamatwa na ngozi mkononi na mwanamke awaye yeyote, basi usije kujaribu kukiri kwamba kweli umekengeuka. Kwa maana utavunja uaminifu[trust] uliyokuwa umejijengea.

Hata ukifumaniwa uchi wa mnyama na dusko zimeshikana na papuchi mwambie "mpenzi wangu, huyu sio mimi ni shetani tuu".

Gheto 4:15

Hairuhusiwi baharia yeyote yule kujibizana na mwanamke wake. Wewe kama baharia yakupasa kuwa mtu wa vitendo zaidi.



Cc Unforgetable
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Aiseeeee
 
Duuùuh hatari sanaa
 
Mkuu siku hizi huli uzazi😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…