teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Naomba kujua nini kimesababisha gari yangu aina tajwa hapo juu imekuwa na tatizo la injini kutoa joto kali kias cha bati lote linalozunguka injini kuchemka sana hata kuwafanya abiria kushindwa kuvumilia, kifupi gari haichemshi isipokuwa inatoa joto kali sana, je tatizo hapo litakuwa ni nini?