Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Habari,
Wazohefu wa magari gari yangu Jana wakati natoka job imelia paah kwanguvu kwenye engine yaani nimeogopa ata kufungua bord ya mbele.
Je tatizo linaweza kuwa nini?