Injini ya gari yangu imetoa mlio paaah! Naomba ushauri

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Habari,

Wazohefu wa magari gari yangu Jana wakati natoka job imelia paah kwanguvu kwenye engine yaani nimeogopa ata kufungua bord ya mbele.

Je tatizo linaweza kuwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…