Injini ya ndege, hata uinyweshe maji ya bwawa zima la Mtera, haizimiki!

Injini ya ndege, hata uinyweshe maji ya bwawa zima la Mtera, haizimiki!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Sembuse ki mvua cha Darisalama?
============================================
Injini ya ndege kubwa ikiwa inafanyiwa majaribio ambapo humwagiliwa maji ya kiwango cha lita elfu nne na nusu kwa dakika. Hii ikiwa ni zaidi ya mvua yeyote inayoweza kupiga Duniani na bado inatakiwa ifanye kazi.

jet engine.png

 
Back
Top Bottom