Sembuse ki mvua cha Darisalama?
============================================
Injini ya ndege kubwa ikiwa inafanyiwa majaribio ambapo humwagiliwa maji ya kiwango cha lita elfu nne na nusu kwa dakika. Hii ikiwa ni zaidi ya mvua yeyote inayoweza kupiga Duniani na bado inatakiwa ifanye kazi.