O ommy babby New Member Joined May 29, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Dec 9, 2019 #1 Nahitaji injini ya pikipiki used aina ya Kinglion, aliyenayo tuwasiliane Whatsapp 0672 578 164.
kalagwena Member Joined Oct 20, 2019 Posts 15 Reaction score 20 Dec 9, 2019 #2 wala huitaji injini "used" kanunue mpya zipo nyingi madukani. hiyo used huwezi jua kwa nini mwenye aliiteremsha. itakusumbua mbeleni.
wala huitaji injini "used" kanunue mpya zipo nyingi madukani. hiyo used huwezi jua kwa nini mwenye aliiteremsha. itakusumbua mbeleni.