Injini ya Toyota Hilux Ina weza kuwa mbadala wa Mitsubishi?

Muscovy

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2019
Posts
785
Reaction score
905
Habari za kazi wakuu poleni kwa mapambano ya Corona....naombeni ushaurini wenu nina gari Mitsubishi pick up L 200 ya mwaka 1995, ugonjwa mkubwa unao Ni sumbua upo kwenye engine maana sijawahi kushusha toka ninunue gari mwaka 1995 (Zaid ya service za hapa na pale).

Safari hiii nataka kushusha engine na uliza engine Toyota hilux Ina weza kuwa mbadala? Sitaki kutumia Engine ya Mitsubishi changamoto huwa na pata timing belt ikakita lock huwa Zina vunjika kwenye piston Nawasilsha

Msaada wa mawazo yenu.
IMG-20200116-WA0043.jpeg
IMG-20191211-WA0019.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabla ya yote nikupe heshima yako.

Umenunua gari tangu 1995 mwaka niliozaliwa mpaka leo upo nayo,umejua kuitunza

Kumbe hapa Jf kuna watu ni babu zetu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo gari zilikuja Tanzania kwa Wingi wakati wa TZJ na TZK wakakopeshwa Wazee wa GWANDA hasa wenye vyeo vya Juu. Hivyo mara nyingi ukiona gari hilo tambua ni Mjeda ama yuko kazini ama amestaafu. Hata wale wapiga bao wanayapa kaheshima fulani huko Road. Nimefanya kukumbushia stori ya miaka 20 huko nyuma
 
TZJ kuna watu walikuwa wanasema eti ni kifupi cha twende zetu jeshini! Da kitambo kidogo. Mola tulinde na janga la Corona.
 
Kwanza kabla ya yote nikupe heshima yako.

Umenunua gari tangu 1995 mwaka niliozaliwa mpaka leo upo nayo,umejua kuitunza

Kumbe hapa Jf kuna watu ni babu zetu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu nilinunua mwaka huo hadi leo naitumia changamoto ni engine Ina Ni sumbua Sana na rejeta toka itoke japana sijawahi kubadili jiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo gari zilikuja Tanzania kwa Wingi wakati wa TZJ na TZK wakakopeshwa Wazee wa GWANDA hasa wenye vyeo vya Juu. Hivyo mara nyingi ukiona gari hilo tambua ni Mjeda ama yuko kazini ama amestaafu. Hata wale wapiga bao wanayapa kaheshima fulani huko Road. Nimefanya kukumbushia stori ya miaka 20 huko nyuma
Uko sahihi Mara nying hizi gari huwa hazi simamishwi Mara kwa mara na wazee wa fedha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Engine za Hilux, 2L-TE, 3L, 1KZ-TE hua zina matatizo kwenye cooling system masafa marefu zinachemshaga
Kabisa mkuu jamaa moja muuza engine nilimcheki akasema hapo Bora nirudishie engine ya Mitsubishi niki weka nyingine italazimu kubadili na gear box bajet kanipa milion tatu na laki nne ya mashine used
781091-500x375.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo gari zilikuja Tanzania kwa Wingi wakati wa TZJ na TZK wakakopeshwa Wazee wa GWANDA hasa wenye vyeo vya Juu. Hivyo mara nyingi ukiona gari hilo tambua ni Mjeda ama yuko kazini ama amestaafu. Hata wale wapiga bao wanayapa kaheshima fulani huko Road. Nimefanya kukumbushia stori ya miaka 20 huko nyuma
Aisee kweli.
Kuna mstaafu mmoja wa Jeshi.
Nalionaga kwake ni jekundu analitumia zimaa kabisa kafunga bomba.
Basi yy analichoteaga maji na mara kadhaa linabebaga ma zagazaga ya harusini
Ya pili namuonaga Mama flan ananyoaga afro sijawahi muona amesuka(huenda nae ni mstaafu).
Yy ni la rangi ya bluu.
Siku zote namuonaga anapita kitaa chetu kuelekea Msikitini/Mtoni mtongani huwa analipaki jirani na vijana wauza majeneza.
 
Mkuu hio milioni 3,400,000 ni engine pamoja na gearbox? Ni engine gani hio mkuu?
Ana dai bei hiyo mkuu 3,40000 bila gearbox injin kama injin sijanunua bado sababu niko kweny tathimin ya kujua bei maeneo tofaut tofaut naona kuna upigaji ya mkoni milion tatu Bei laki nne ya upigaji sababu tuliongea kwenye simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kweli.
Kuna mstaafu mmoja wa Jeshi.
Nalionaga kwake ni jekundu analitumia zimaa kabisa kafunga bomba.
Basi yy analichoteaga maji na mara kadhaa linabebaga ma zagazaga ya harusini
Ya pili namuonaga Mama flan ananyoaga afro sijawahi muona amesuka(huenda nae ni mstaafu).
Yy ni la rangi ya bluu.
Siku zote namuonaga anapita kitaa chetu kuelekea Msikitini/Mtoni mtongani huwa analipaki jirani na vijana wauza majeneza.
Atakua amebadil rangi huyo mama zilikuja rangi chache Sana nyekundu...kijivu na nyeupe tu itakuwa alibadili rangi weng hayo magar wanatumia shughuli ndogo ndogo kwa asilimia kubwa mengi yamekufa juu ya mawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana dai bei hiyo mkuu 3,40000 bila gearbox injin kama injin sijanunua bado sababu niko kweny tathimin ya kujua bei maeneo tofaut tofaut naona kuna upigaji ya mkoni milion tatu Bei laki nne ya upigaji sababu tuliongea kwenye simu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ni engine aina gani? 2L, 3L au 1KZ?
 
naona mnaongelea engine ya mil 3 wakatimkitaa unapata gari nzur tu
 
Alaa kumbe

Back
Top Bottom