Hizo gari zilikuja Tanzania kwa Wingi wakati wa TZJ na TZK wakakopeshwa Wazee wa GWANDA hasa wenye vyeo vya Juu. Hivyo mara nyingi ukiona gari hilo tambua ni Mjeda ama yuko kazini ama amestaafu. Hata wale wapiga bao wanayapa kaheshima fulani huko Road. Nimefanya kukumbushia stori ya miaka 20 huko nyumaKwanza kabla ya yote nikupe heshima yako.
Umenunua gari tangu 1995 mwaka niliozaliwa mpaka leo upo nayo,umejua kuitunza
Kumbe hapa Jf kuna watu ni babu zetu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
TZJ kuna watu walikuwa wanasema eti ni kifupi cha twende zetu jeshini! Da kitambo kidogo. Mola tulinde na janga la Corona.Hizo gari zilikuja Tanzania kwa Wingi wakati wa TZJ na TZK wakakopeshwa Wazee wa GWANDA hasa wenye vyeo vya Juu. Hivyo mara nyingi ukiona gari hilo tambua ni Mjeda ama yuko kazini ama amestaafu. Hata wale wapiga bao wanayapa kaheshima fulani huko Road. Nimefanya kukumbushia stori ya miaka 20 huko nyuma
Asante sana mkuu nilinunua mwaka huo hadi leo naitumia changamoto ni engine Ina Ni sumbua Sana na rejeta toka itoke japana sijawahi kubadili jikoKwanza kabla ya yote nikupe heshima yako.
Umenunua gari tangu 1995 mwaka niliozaliwa mpaka leo upo nayo,umejua kuitunza
Kumbe hapa Jf kuna watu ni babu zetu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa ushauri wakoNafikiri ukipata ya dizeli itakuwa nzuri zaidi. Ngoja tawaite@Lege
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi Mara nying hizi gari huwa hazi simamishwi Mara kwa mara na wazee wa fedhaHizo gari zilikuja Tanzania kwa Wingi wakati wa TZJ na TZK wakakopeshwa Wazee wa GWANDA hasa wenye vyeo vya Juu. Hivyo mara nyingi ukiona gari hilo tambua ni Mjeda ama yuko kazini ama amestaafu. Hata wale wapiga bao wanayapa kaheshima fulani huko Road. Nimefanya kukumbushia stori ya miaka 20 huko nyuma
Hahaha Amina mkuuTZJ kuna watu walikuwa wanasema eti ni kifupi cha twende zetu jeshini! Da kitambo kidogo. Mola tulinde na janga la Corona.
Kabisa mkuu jamaa moja muuza engine nilimcheki akasema hapo Bora nirudishie engine ya Mitsubishi niki weka nyingine italazimu kubadili na gear box bajet kanipa milion tatu na laki nne ya mashine usedEngine za Hilux, 2L-TE, 3L, 1KZ-TE hua zina matatizo kwenye cooling system masafa marefu zinachemshaga
Mkuu hio milioni 3,400,000 ni engine pamoja na gearbox? Ni engine gani hio mkuu?Kabisa mkuu jamaa moja muuza engine nilimcheki akasema hapo Bora nirudishie engine ya Mitsubishi niki weka nyingine italazimu kubadili na gear box bajet kanipa milion tatu na laki nne ya mashine usedView attachment 1442363
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kweli.Hizo gari zilikuja Tanzania kwa Wingi wakati wa TZJ na TZK wakakopeshwa Wazee wa GWANDA hasa wenye vyeo vya Juu. Hivyo mara nyingi ukiona gari hilo tambua ni Mjeda ama yuko kazini ama amestaafu. Hata wale wapiga bao wanayapa kaheshima fulani huko Road. Nimefanya kukumbushia stori ya miaka 20 huko nyuma
Ana dai bei hiyo mkuu 3,40000 bila gearbox injin kama injin sijanunua bado sababu niko kweny tathimin ya kujua bei maeneo tofaut tofaut naona kuna upigaji ya mkoni milion tatu Bei laki nne ya upigaji sababu tuliongea kwenye simuMkuu hio milioni 3,400,000 ni engine pamoja na gearbox? Ni engine gani hio mkuu?
Atakua amebadil rangi huyo mama zilikuja rangi chache Sana nyekundu...kijivu na nyeupe tu itakuwa alibadili rangi weng hayo magar wanatumia shughuli ndogo ndogo kwa asilimia kubwa mengi yamekufa juu ya maweAisee kweli.
Kuna mstaafu mmoja wa Jeshi.
Nalionaga kwake ni jekundu analitumia zimaa kabisa kafunga bomba.
Basi yy analichoteaga maji na mara kadhaa linabebaga ma zagazaga ya harusini
Ya pili namuonaga Mama flan ananyoaga afro sijawahi muona amesuka(huenda nae ni mstaafu).
Yy ni la rangi ya bluu.
Siku zote namuonaga anapita kitaa chetu kuelekea Msikitini/Mtoni mtongani huwa analipaki jirani na vijana wauza majeneza.
Hio ni engine aina gani? 2L, 3L au 1KZ?Ana dai bei hiyo mkuu 3,40000 bila gearbox injin kama injin sijanunua bado sababu niko kweny tathimin ya kujua bei maeneo tofaut tofaut naona kuna upigaji ya mkoni milion tatu Bei laki nne ya upigaji sababu tuliongea kwenye simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo gari zilikuja Tanzania kwa Wingi wakati wa TZJ na TZK wakakopeshwa Wazee wa GWANDA hasa wenye vyeo vya Juu. Hivyo mara nyingi ukiona gari hilo tambua ni Mjeda ama yuko kazini ama amestaafu. Hata wale wapiga bao wanayapa kaheshima fulani huko Road. Nimefanya kukumbushia stori ya miaka 20 huko nyuma
Engine Ni D 56 Mitsubishi non-turboHio ni engine aina gani? 2L, 3L au 1KZ?