Mmoja alitaka kuleta demokrasia ndani ya chama cha demokrasia kwa kutaka kuchukua nafasi ya mwenyekiti dikteta mwenyekiti akamtimua, mwingine alikataa unafki miaka yote wamemuita Lowasa fisadi alafu from nowhere aanze kumpigia kampeni kuwa ni mtu safi kisa mwenyekiti wa chama kakunja Billion 5 za kumpa nafasi ya kugombea u Rais , akaona huo unafki yeye hauwezi akajiweka pembeni.