Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Innalilah wainnailaih rajiun mzee hussein chilwanPole, kesi iliishaje
Ficha chuki itakusaidia popote uendakoHuwezi sikia wachungaji ama mapadre wamefungwa kwa ugaidi..
Dini ya wavaakobazi ina tatizo mahali.
Apumzike kwa amani akome kuhubiri chuki na utengano baina ya jamii ya watanzania kisa illusion zake za kiimani.
#MaendeleoHayanaChama
Hii Dini ila UJINGA sana. Hebu angalia Headline ya gazeti lao [emoji23][emoji23][emoji23]Huwezi sikia wachungaji ama mapadre wamefungwa kwa ugaidi..
Dini ya wavaakobazi ina tatizo mahali.
Apumzike kwa amani akome kuhubiri chuki na utengano baina ya jamii ya watanzania kisa illusion zake za kiimani.
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu umewaza vyema? Wewe unawajua magaidi wote? Una uhakika hakuna siku wewe au ndugu yako laweza kutokeeni zaidi ya hilo?Huwezi sikia wachungaji ama mapadre wamefungwa kwa ugaidi..
Dini ya wavaakobazi ina tatizo mahali.
Apumzike kwa amani akome kuhubiri chuki na utengano baina ya jamii ya watanzania kisa illusion zake za kiimani.
#MaendeleoHayanaChama
Hivi Mbowe alituhumiwa kwa kesi gani vile? Vipi na yeye ni shehe wa mkoa gani?Huwezi sikia wachungaji ama mapadre wamefungwa kwa ugaidi..
Dini ya wavaakobazi ina tatizo mahali.
Apumzike kwa amani akome kuhubiri chuki na utengano baina ya jamii ya watanzania kisa illusion zake za kiimani.
#MaendeleoHayanaChama
Mwake nimuwakie sio uislamu ni mimi sipendi ujingaSo dini yako ndio inakufundisha namna hii mkuu??