FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 1,916
- 3,850
- Thread starter
-
- #281
Shukrani.....baadae naleta kingineAsante Sana kiongozi,Mungu akujaze nguvu.
Tunasubiri mkuu
Nililala mapema nafidia leo aiseeTunasubiri mkuu
[emoji122]Shukrani mkuu[emoji120] FEBIANI BABUYA
Mkuu upo makini sana [emoji91]Daaaaaah,naisoma nikihakikisha hakuna bugdha yoyote karibu yangu.
Neno kwa neno,nukta kwa nukta.
Asante Sana.
Imetulia Sana,iko viwango.
Ngoja mchungaji atakavyo badiri gia angani pale atakapokuta MADALE pamechimbika.
So,hata taarifa ya mwandishi. hawakuwa nayo.
Mbona atapenda.