Inonga alistahili adhabu zaidi ya Kadi ya Njano

Inonga alistahili adhabu zaidi ya Kadi ya Njano

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa rafu mbaya aliyomchezea Sure boyninapendekeza kamati bodi ya ligi kuiangalia vizuri video ya mchezo huu wa ngao na kuangalia rafu mbaya aliyocheza Inonga dhidi ya Sure boy.

Na mbaya zaidi alicheza rafu ya aina hiyo katikati ya kipindi cha kwanza kwa Faisal Salum.

Baada ya kujiridhisha na Makosa yote hayo mawili ya kukusudia Inonga apatiwe adhabu zaidi kwa kuhatarisha usalama wa wachezaji wengine mchezoni.

Kama viĺe haitoshi baada ya kufanya rafu zake hizo mbaya za hatari yeye hujiwahi haraka na kujifanya kuwa yeye ndio kaumizwa.hii ni tabia yake na haitakua vizuri aachwe na shida hii.aadhibiwe vikali,kadi ya njano haitoshi.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Badala wasajili wachezaji wanatuletea wapiga ndondi.

Halafu mtu mwenyewe afya mgogoro mpira ulishamshinda.
 
Back
Top Bottom