Inonga amechomesha tukafungwa goli na Al Ahly

Inonga amechomesha tukafungwa goli na Al Ahly

mchezaji gani hajawahi kucheza fyongo uwanjani???
Mbona akikaba vizuri hamsifii?
 
Kocha ndio kazingua kawapa ushindi waarabu wenzake kiulaini amechelewa kufanya substitution mwenzake anafanya sub anamuangalia.
 
Kazi imeanza 🤣🤣🤣
 
Attachments

  • IMG_2065.jpeg
    IMG_2065.jpeg
    88.2 KB · Views: 2
Huyo mchezaji amekuwa akichomesha mara kwa mara.
Kwani kocha anamwamini sana,
INONGA ametucost.
kiuhalisia simba wote ndo wenye makosa. waliweka angalizo sana katika mechi ya yanga na jinsi Yanga itakavyofungwa mabao mengi na mamelodi sun down. Leo washaanza kumlaumu Inonga na kesho utasikia majungu kwa MO.
 
Acha uongo na wewe, Simba ipi hiyo iliweka angalizo kwa Yanga?....Au ni mashabiki ambao hata hawapangi timu?....

Mnajipa umuhimu msiokuwa nao kana kwamba hiyo Robo fainali mnacheza peke yenu.
 
Lile bao limeanzia kwa Zimbwe, huyu Inonga mnamsingizia hapa, khaah
Wewe una macho halisi na umeona kama mimi. Kuna watu hawajui hata kosa lilianzia wapi?

By the way, wanafikiri Kennedy Juma ndo angewazuia Ahly? Kennedy huyu huyu mzito anayefanyaga ugoro?
 
Back
Top Bottom