Inonga anaondoka Simba mwishoni wa msimu huu 2024

Inonga anaondoka Simba mwishoni wa msimu huu 2024

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
20240412_195433.jpg
Beki wa Simba Enoch Inonga anatarajia kuondoka Simba baada ya msimu kumalizika.

Japo Inonga ana mkataba mpaka 2025 ila ameomba kuondoka na ameshaanza mazungumzo na club yake wamuachie.

Pia beki wa kati Che Malone nae anataka kuondoka sababu hafurahii kuwepo Simba.

Za ndani zinasema Simba wanataka kumchukua naodha wa Yanga Bakari Mwamnyeto ambae mkataba wake unaisha Yanga hivi karibuni na bado hajasaini mkataba mpya.
 
Waondoke tu hakuna tatizo...

Kimsingi Inonga hana faida yeyote akiwa Simba, hujituma akiwa national team...

Malone yeye ndiyo kiazi kabisa, aondoke hata sasa hivi tu.
 
Mwaache aende, coz mapenzi aya lazimishwi.

Kama tulivyompata yeye, tutampata na mwingine.

Hicho ndicho kinachofanya maisha kuwa very interesting.
 
Kwa kiwango alicho kionesha CAF kuondoka lazima aondoke.
 
Kwa hali hii Yanga atakuwa bingwa kwa miaka mingi sana. Maana wapinzani kila mwaka watakuwa wako busy kujenga tu kikosi chao, huku wakiendelea kujipa matumaini kupitia yule msemaji mwenye damu ya Kinjekitile Ngwale, mwilini mwake.
 
Simba haina shida kuachia mchezaji wala huwez skia lawama, ugomvi, wala kutupiwa majini kama wale Walozi wa Kule kwenye mafuriko ya Vinyesi vya Jiji. Ameondoka Mickoson, Okwi, Chama, Sakho, Costa Nyumba, Bwallya nk lkn Mnyama kaenda Champions League mara 5 na wale walozi na kubania wachezaji kakaa miaka 87 ndio kafika Robo Fainali ya Vilabu Barani Afrika.

Timu hii hii mbovu ndio Bingwa na Ngao ya Hisani
 
Back
Top Bottom