sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Nmekutana na mdada njiani anaongea peke ake nkahisi ni weweWw utomasandawane ni ripota wao?.
Daaaah ktk kitu nimekimanage ni ushabiki na maisha yangu...yani hata watu wa krb hawajui kama niko na vaibuu na Simba namna hii huku Jeiefu...nikiweka simu pembeni kichwa inadaunlodi mambo mengine 🤣 🤣Nmekutana na mdada njiani anaongea peke ake nkahisi ni wewe
Hela unatoa wewe?Simba tusajili wachezaji wa maana tuache mbwembwe.