Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
mwizi anajichunguza mwenyewe ......hii ni zaid ya comedy .....Inquiry Commission: Public Notice
tume haramu nani awape ushirikiano?? kwanza mnachunguza nini wakati tumeshaambiwa nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi...maana yake hata matokeo ya nguvu iliyotumika yalikuwa sahihi pia.Inquiry Commission: Public Notice
Sana yaani wakae mbali kabisa hii tume ya chinja chinja watawaua wote bila huruma. Tume hii ni ya kutafuta wahanga wawamalizNinawaonya watu mlio na ushahidi nyeti msithubutu kuhojiwa au kupelekeka ushahidi kwa hilo genge la wauaji wa Samia linaloitwa tume , mtapotezwa mmoja baada ya mmoja.
Ushahidi wako utunze , maana jumuiya za kimataifa zilishatoa msimamo tume hiyo sio huru.
Tunza ushahidi wako baada ya kuupload kule kwenye portal za ICC.
Chonde chonde msije mkajitoa ufahamu kuisaidia hii tume, watawapoteza na hawatataka mzikwe kama walivyovyowafanyia ndugu zetu wa october.Ninawaonya watu mlio na ushahidi nyeti msithubutu kuhojiwa au kupelekeka ushahidi kwa hilo genge la wauaji wa Samia linaloitwa tume , mtapotezwa mmoja baada ya mmoja.
Ushahidi wako utunze , maana jumuiya za kimataifa zilishatoa msimamo tume hiyo sio huru.
Tunza ushahidi wako baada ya kuupload kule kwenye portal za ICC.
Nakubaliana na we 100%. Tume hii ni ya upande mmoja. Tume ya ukweli ingejumuisha makundi tofauti ktk jamii, wanaharakati wa kupigania haki za binadamu, viongozi wa dini etc. Tume iliyoundwa sioni kama ni ya kutafuta ukweli, bali ni ya kubaini wale wenye ushahidi na wana ujasiri wa kusema ukweli, halafu wakishajulikana wapotezwe. Watu warejee yaliyotokea Kenya baada ya Uhuru Kenyatta, William Ruto & co. kushtakiwa ICC- mashahidi wengi walipotezwa na wengine walijitoa baada ya kukubali kuhongwa fedha.Ninawaonya watu mlio na ushahidi nyeti msithubutu kuhojiwa au kupelekeka ushahidi kwa hilo genge la wauaji wa Samia linaloitwa tume , mtapotezwa mmoja baada ya mmoja.
Ushahidi wako utunze , maana jumuiya za kimataifa zilishatoa msimamo tume hiyo sio huru.
Tunza ushahidi wako baada ya kuupload kule kwenye portal za ICC.
RubbishPUBLIC NOTICE
The Inquiry Commission, established to investigate the violence unfolded during and after the October 29 General Election wishes to inform all citizens that it has officially commenced its work in accordance with the Commission of Inquiry Act, Chapter 32.
The success of the Commission will rely heavily on the cooperation of anyone who may hold information that can help establish the truth. The Commission therefore invites all citizens, Civil Society Organisations, religious leaders, political parties. youth groups and all other stakeholders to submit information, evidence, opinions and recommendations that may assist its investigation.
Information may be submitted in the form of written documents; photographs (still and moving); and other relevant materials through various channels, including in-person discussions or interviews; written submissions delivered by post or through the Commission's dedicated website; email; SMS; special ques-tionnaires; and social media platforms.
The Commission will strictly protect the confidentiality of individuals who do not wish their identity to be disclosed outside the Commission.
For communication, please use the following channels.
Postal Address:
Commission of Inquiry into the Breach of Peace During and After the October 2025 General Election
P.O. Box 471, Dar es Salaam.
Issued by
THE CHAIRPERSON OF THE COMMISSION
View attachment 3514552
huu ni usenge kama usenge mwinginePUBLIC NOTICE