Inquiry Commission: Invites citizens, CSOs...to submit information, evidence, opinions and recommendations

Kwa nini hawataki kuutarifu Umma kwa lugha Adhimu yetu ya Kiswahili??? Na ripoti hizo maana yake wadau wazipeleke zikiwa kwenye kiingereza?
===
Nadhani hawapo kupata maoni ya wazungumza kiswahili.
 
written submissions delivered by post or through the Commission's dedicated website; email; SMS; special ques-tionnaires; and social media platforms.
Kama wanahitaji taarifa waweke channel ya anonymity. Waweke sanduku la Box na hilo eneo wasiweke surveillance yoyote. Watu watadumbukiza humo ushahidi wanaoutaka.
 
Huu ni UPUMBAVU km upumbafu mwingine, kingereza mnamwandikia mtanzania wa mwanalumango? Walikuwa ni wazungu? Tume ni ya wazungu nyie wazeee mpoje?
Mimi nimeshangaa sana!!! Kwamba wapate watu wachache watakaotoa maoni? Au ipo pia na ya kiswahili?
 
Sana yaani wakae mbali kabisa hii tume ya chinja chinja watawaua wote bila huruma. Tume hii ni ya kutafuta wahanga wawamaliz
Ukitaka kujua hilo genge limejaa uchafu angalia Stegormena Tax ametajwa kwa cheo kipi ukilinganisha na wengine wote ambao nao wana makando kando kibao.
 
Chonde chonde msije mkajitoa ufahamu kuisaidia hii tume, watawapoteza na hawatataka mzikwe kama walivyovyowafanyia ndugu zetu wa october.
Naam, hii imeundwa kufukia uchafu wa Samuya.
 
Mhagama baada ya kumalizia kumuhoji........
 
Sheria yenyewe ni mbaya sana...haina nafasi ya fungus Rais bila kuwa na mgongano wa maslahi.
 
Yaani upeleke ushahidi kwenye tume ya rais ambaye naye ni mtuhumiwa?! Bado kuna wajinga wa hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…