elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
ni kweli kuna watu wanafanya biashara ya lab specimen (organisms). Wale organisms huwa wanafugwa kitaalam under intensive care i.e kupata matibabu na chanjo mbalimbali and most of are infertile... huwa kuna mbegu maalum na si kuokota okota maporini... c'se kufanya hivyo kutasababisa madhara ya kiafya kwa wanafunzi wakati wa dissection.. mfano panya wa nyumbani anasababisha ugonjwa wa tauni..
kwa tz panya mmoja wa lab si chini ya 2000/=
Jinsi ya kukata na kusafirisha ni sawa na kusafirisha twiga. Nenda wizara ya maliasili na utalii utaelekezwa.