Inshangaza Simba kuanza na wachezaji 10 vs Dodoma Jiji

Inshangaza Simba kuanza na wachezaji 10 vs Dodoma Jiji

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Haijulikani tatizo ni nini au ni dharau dhidi ya Dodoma Jiji au wanajaribu kuweka rekodi fulani amaizing lakikini kikosi cha Simba kimetoka na kwenye page zote officials hadi ya msemaji wao Manara wameweka kikosi chenye wachezaji 10 badala ya 11.

Screen Shot 2021-02-04 at 3.10.55 PM.png
 
Kushoto Starting XI, kulia list ina X

Huenda ni hitilafu tu.. hata hivyo kwani inaruhusiwa?
 
Kushoto Starting XI, kulia list ina X

Huenda ni hitilafu tu.. hata hivyo kwani inaruhusiwa?
nimehesabu wako kumi labda kama sheva, au dilunga au kahata mmojawapo atacheza,kuna watu wa kitengo cha habari wameajiriwa kwa kazi hiyo halafu wanapost bila ku double check si ujinga huo?jana utopolo walitoa boko la statememnt ya kaimu katibu mkuu kuonyesha barua ya mwezji jana ila dakika chache wakawahi kuifuta
 
Naona walikosea tu, wameitoa ile post ya kwanza saizi wameweka nyingine, walisahau kumuandika bwalya
 
Hiki kikos mmetoaa wap mbna kwenye official pages hakipoooo!??
 
Back
Top Bottom