Kuna hii Video kutoka BBC Eye inaonyesha jinsi maandamano ya Gen Z Occupy Parliament na jinsi gani waliohusika kufanya mauaji na kuonyesha kulikuwa hakuna sababu ya kufanya mauaji hayo..... Very Sad Indeed
Jamaa ameuliwa wakiwa wanatoka na inaonyesha polisi ana-aim for the kill (kulikuwa hakuna sababu ya kuua hii nguvu kazi) Pili Bunge wasingeziba masikio kwamba watu hawataki hio Bill ipite wenyewe wakanganganiza hayo yote yasingetokea...;
In short ni viburi vya watawala ndio vinasababisha muendelezo wa upotevu wa maisha ya vijana (na vijana hawa wapo tayari kupoteza maisha) sababu kwao kila siku ni kama jehanamu... It will get worse before it gets better (sababu watawala ni kama wameziba masikio na kushindwa kutatua matatizo or atleast kujifanya wanatatua i.e. Kujua kula na Vipofu)