Inspector Haron (Babu) afurahia maamuzi ya serikali

Inspector Haron (Babu) afurahia maamuzi ya serikali

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
3,590
Reaction score
3,632
Habari zenu wana JF,
Pamoja na wapenzi wote wa hili jukwaa la Celebrities Forum.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.

Baada ya Serikali kutangaza kuondoa kodi ya Road licence.
Muimbaji mkongwe katika fani ya Muziki wa Ladha ya Bongo (Bongo flever) Inspector Haron, ameeleza kufurahishwa kwake na maamuzi yaliyo tolewa na Serikali, kwa kuondoa kodi ya leseni ya barabara, maamuzi yatakayo msukuma kurudisha/kutengeneza gari yake iliyopaki nyumbani kwa muda mrefu.
62a5bc9a3150fdfe34df0b407418de0d.jpg


db2525ffdb9f099cac9e6ab09a4da1af.jpg


Akieleza/akitoa maoni yake juu ya hatua iliyochukuliwa na Serikali, amesema ni wananchi wachache wanaoweza kupongeza uamuzi huu, kwani si Raia wote wenye uwezo wa kumiliki Magari.

55c650590fbfea02c7746ed652338d55.jpg


Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Hauko serias

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe yupo huyu anatafuta kiki kwaa,,,,,,??
 
Tangu wamekuja hawa sent from my HAUWEI naona thread za kimbwiga zimeongezeka.
 
kumbe
Habari zenu wana JF, Pamoja na wapenzi wote wa hili jukwaa la Celebrities Forum.

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu...

Baada ya Serikali kutangaza kuondoa kodi ya Road licence.

Muimbaji mkongwe katika fani ya Muziki wa Ladha ya Bongo (Bongo flever) Inspector Haron, ameeleza kufurahishwa kwake na maamuzi yaliyo tolewa na Serikali, kwa kuondoa kodi ya leseni ya barabara, maamuzi yatakayo msukuma kurudisha/kutengeneza Gari yake iliyopaki Nyumbani kwa muda mrefu.
62a5bc9a3150fdfe34df0b407418de0d.jpg


db2525ffdb9f099cac9e6ab09a4da1af.jpg


Akieleza/akitoa maoni yake juu ya hatua iliyochukuliwa na Serikali, amesema ni wananchi wachache wanaoweza kupongeza uamuzi huu, kwani si Raia wote wenye uwezo wa kumiliki Magari.

55c650590fbfea02c7746ed652338d55.jpg


Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
hiyo nayo inaitwa gari! ngoja na mimi nije nivinunue vya hivyo kama kumi hivi pengine ntaitwa tajiri.!!!
 
Kwani gari hiyo katika Picha na Voksagwen (Mgongo wa Chura) ipi ya thamani, lengo la Inspekta, ni kuifufua Dhahabu yake...

Ama hujui kuwa cha Kale ni Dhahabu...?

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mujibu wa maelezo yake anasema, gari ni nzima...cha kubadili (zaidi) ni Betri pekee, kwani imesimama kwa muda mrefu..

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Huyu Jamaa si ndio anafanya show kiingilio buku mbili kwa sasa?

Sent from my Samsung Galaxy C10 using JamiiForums mobile app.
 
Cjui kama anaelewa alichokua
Anaongea

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom