Huyu Jamaa si ndio anafanya show kiingilio buku mbili kwa sasa?
Sent from my Samsung Galaxy C10 using JamiiForums mobile app.
Kama humjui huyu (jamaa) Inspekta, huwa hana/hapendi Makuu....!!
Kwa kiingilio kama hicho, kwake ni Tosha sana.
Kuthibitisha hilo, Tangu gari yake ipaki, kwa kusumbuliwa na Askari wetu wa Barabarani, baada ya kuwa hana vibali sitahiki, amechukua uamuzi wa kuikubali hali, kwani aliamua (japo ni kioo cha jamii) kupaki Gari yake, na kujichanganya na Raia kwa kutembea ama kupanda Daladala kama kawa.
Hii ni tofauti na wasanii wengine kulazimisha mambo, matokeo yanayo wapelekea, KUGEUZWA MAPUNDA..
(Wahenga.... wananielewa)
Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app