Inspector Haroun Babu aanza kuisoma Namba.

Ila hata bendi;/ngwasuma, Akudo, Twanga viingilio ni soda na bia mitaani.
 
Hili ni tatizo la kitaifa kwa hawa wasanii wetu. Wengi wao wametokea katika maisha ya ufukara uliopitiliza, sasa pindi wanapobahatika kupata nafasi ya kuwa maarufu na kuanza kushika vimilioni basi wanajisahau wakifikiri kwamba wataendelea kuwa hivyo mpaka siku wanaingia kaburini. Baada ya miaka miwili mitatu wanaanza kupotea kwenye ramani na kujikuta hawana kitu mfukoni. Mwisho wa siku wanakimbilia kuwa drug addicts na kuanza ku-blame system. Na hii sio kwa wasanii wa bongofleva tu, hata kwa wacheza mpira (wapi akina bahanuzi), wale walioenda BBA afu wakatusua (wapi mwisho mwampamba na nduguye richard), waigizaji wa bongo muvi n.k
 
kwani hata akipata hiyo hela kidogo si imetokana na jasho lake,si sawa na kukaa bure.Msifurahie mtu mwingine akipata shida bali mhurumieni na ikibidi mshauri aondokane na shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…